Social Icons

Pages

Blogger templates

Tuesday, October 10, 2017

TANZIA : KIFO CHA MZEE RAPHAEL MLONDOYE MSYALIHA

Watoto wa Marehemu Mzee Raphael Mlondoye Msyaliha wa Mbeya mjini wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa.
Mzee Raphael Mlondoye Msyaliha aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 10 oktoba 2017 katika Hospital ya Rufaa Mkoani Mbeya . 

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Mbeya mjini karibu na Hospital ya Rufaa. 

Habari ziwafikie watoto wote wa marehemu, wana ukoo wote wa Msyaliha, Shonza,shura, Mwamlima, Paza, Sijabaje, Halinga, Mgala, Ntenga, Ntengwi, Mwashambwa, Njeje na Mwawalo , Ndugu wote na jamaa wa marehemu wateja na wadau wote wa Victoria Engeneering.

mazishi yamepangwa kufanyika Mkoa wa songwa  (Mbozi) Kijiji cha Igale kata ya Iyula siku ya Alhamis Tarehe 12 mwezi wa 10 2017.Mwenyezi MUNGU ailaze roho ya Marehemu Baba yetu Mahala Pema Peponi.
AMENI

No comments:

Post a Comment