Kamera ya Songwe yetu katika pita pita zetu tulikutana na hili dampo ambalo kwa hakika ni hatari sana kutokana na kwamba takataka zimezagaa huku kukiwa hakuna kuzizoa wala nini.. Hata hivyo wananchi wa eneo hilo walionekana wapo bize na mambo yao.. ungana nasi ikiwa huu ni Mkoa mpya kabisa ..
Dampo hilo hapo dogo halijajaa vizuri lakini Takataka zimejaa pembeni hatari sana
Utashangaa sana kuona kushoto watu wanaendelea na mambo yao kama kawaida
Hivi Hii Haolmashauri ya Mbozi wanapita huiku kuangalia?
Hakika hii ni hatari sana
Swali je hao wanaokaa jirani na hapa wanaishije?
Cha Kushangaza zaidi kuna Car wash kipande hiki sijui wanapata wapi ujasili wa kuosha magari yao.
Picha na Songwe yetu
No comments:
Post a Comment