- Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
- Kuwa na cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kumaliza kidatu cha Nne au cha Sita
- Kadi ya mpiga kura
- Bima ya afya
- Pasipoti ya kusafiria
- Kadi ya Mzanzibar mkazi (kwa mkazi wa Zanzibar)
- Ajaze fomu ya uraia
- Mtendaji wa Mtaa au Sheia atamthibitisha kwa kuweka mhuri kwenye fomu aliyoijaza
- Kupitia uhamiaji ili kuthibitisha uraia
- Kwenda Ofisi ya Mkoa ya Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Kuchukuliwa alama za Kibaolojia za vidole na picha ya uso
- Mchakato wa uzalishaji wa kitambulisho unaanza
- Baada ya kukamilika Vitambulisho vinapelekwa katika ngazi ya Mtaa au Sheia alikojiandikishia kwa ajili ya kukabidhiwa na kwa watumishi wa Serikali vinachukuliwa katika Ofisi za Mkoa.
Nifanyeje kupata kitambulisho cha Taifa?
HATUA ZA AWALI ZINAFANYIKIA KATI NGAZI YA MTAA AU SHEIA- Awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18
- Kuwa na cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kumaliza kidatu cha Nne au cha Sita
- Kadi ya mpiga kura
- Bima ya afya
- Pasipoti ya kusafiria
- Kadi ya Mzanzibar mkazi (kwa mkazi wa Zanzibar)
- Ajaze fomu ya uraia
- Mtendaji wa Mtaa au Sheia atamthibitisha kwa kuweka mhuri kwenye fomu aliyoijaza
- Kupitia uhamiaji ili kuthibitisha uraia
- Kwenda Ofisi ya Mkoa ya Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)
- Kuchukuliwa alama za Kibaolojia za vidole na picha ya uso
- Mchakato wa uzalishaji wa kitambulisho unaanza
- Baada ya kukamilika Vitambulisho vinapelekwa katika ngazi ya Mtaa au Sheia alikojiandikishia kwa ajili ya kukabidhiwa na kwa watumishi wa Serikali vinachukuliwa katika Ofisi za Mkoa.
No comments:
Post a Comment